Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
MINŐSÍTETT
KERESKEDELMI
PARTNERKERESÉS
KELET-AFRIKÁBAN ÉS
KÖZÉP-EURÓPÁBAN
UANDAAJI WA USHIRIKA
BORA WA KIBIASHARA AFRIKA
MASHARIKI NA ULAYA YA KATI
MINŐSÍTETT
KERESKEDELMI
PARTNERKERESÉS
KELET-AFRIKÁBAN ÉS
KÖZÉP-EURÓPÁBAN
Tunaamini kwamba biashara ya kimataifa na maendeleo yanapaswa kuwa katika msingi wa kuaminiana. Hii inahitaji kufahamiana kibinafsi kwa wadau wenyeji na wageni. Kwa kujua sheria na tabia za wenyeji na kutumia mtandao wa kimahusiano, tunaweza kufikia ufanisi mkubwa na kuepuka ubadhirifu, na kuepuka kupoteza muda. Mahusiano ya kibiashara kati ya haya mabara mawili huleta mahusiano ya kimataifa au kuleta uwekezaji mkubwa. Hata hivyo sisi tuna shabaha ya biashara ndogondogo na zile za kati pamoja na ufumbuzi toka kwa watu binafsi.
Slider
Mi hiszünk
MINŐSÍTETT
KERESKEDELMI
PARTNERKERESÉS
KELET-AFRIKÁBAN ÉS
KÖZÉP-EURÓPÁBAN
Mi hiszünk abban, hogy a nemzetközi kereskedelem és üzletfejlesztés csak bizalmon alapulhat. Ehhez mind a kiinduló, mind a fogadó országban személyesen ismert, megbízható helyi partnerekkellenek. A helyi törvények, szokások ismeretével, a kapcsolatrendszerek felhasználásával tudjuk
elérni a maximális eredményességet és elkerülni a csalásokat, az idnk pazarlását. A két kontinens közötti üzleti kapcsolatok jellemzően államköziek, illeve kamarák és kereskedőházak által a nagyvállalatokra koncentrált. Ezzel szemben mi a kis- és középvállalati (KKV) szektorra és az egyéni megoldásokra fókuszálunk.
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Image not available
Slider
Soko la Afrika Mashariki lina watu takribani milioni 250
Soko la Ulaya ya Kati lina watu takribani milioni 100
Miongoni mwa maeneo yanayokua kwa kasi duniani
Inakua kwa kasi katika ukanda wa Ulaya
Imara kisiasa katika ukanda wa Afrika
Wanachama wa Umoja wa Ulaya, wana mifumo imara
Hali za vipato zinazokaribia kiwang cha Ulaya Magharibi
Biashara hufanyika kupitia makampuni ya Ulaya Magharibi
Imagawanyika kiuchumi, ina wateja wa kutosha na wabobezi wa kiwango cha kimataifa
Ina ukuaji mpana wenye ubunifu
Biashara hufanyika kupitia makampuni ya Ulaya Magharibi
Ina ufumbuzi wa kiteknolojia na ubunifu, na viwango rafiki vya bei na mifumo bora ya uchukuzi
previous arrow
next arrow
Slider

Tunaweza kukusaidiaje?

Image
Unaweza kujumuishwa bila gharama yoyote kwenye orodha yetu ya baishara ya kimataifa yenye makampuni kutoka katika nchi 13.
Image
Tunafanya tathimini ya hadhi ya kampuni yako kuingia katika masoko ya kigeni bila gharama yoyote
Image
Tunasaidia utaalamu kwa kampuni yako katika kurekebisha mapungufu yaliyoainishwa ili uweze kuingia katika masoko ya nje, na tutakujulisha vigezo vya masoko kusudiwa
Image
Tunawakilisha kampuni yako katika maonesho ya kimataifa na matukio maalum
Image
Tunaweza kusaidia upate wasambazaji wapya
Image
Kwa kuhusisha wadau wetu wenyeji, tunaweza kukusaidia kupata wateja na wasambazaji wa bidhaa, huduma na teknolojia yako.
Image
Tunapoanzisha kampuni tanzu ya kigeni, tunakupunguzia mzigo wa uanzaji, uchaguzi wa menejimenti, huduma za wataalam na uwezeshaji wa kibiashara

Kwa nini utuchague sisi?

 • Utaweza kupata washirika wa kigeni bila kuhatarisha fedha zako
 • Tunajikita katika sekta ndogondogo na za kati, na tuna washirika tunaowajua na mtaji wa mahusiano
 • Unaweza kupunguza sana gharama za biashara za kigeni
 • Kama kampuni yako inahitaji maandalizi ya kuingia katika soko la kigeni, unaweza kuongea na wataalamu wetu weyeji katika lugha yako
 • Unaweza kuwasiliana na mtaalamu wetu wa masoko husika kwa kingereza ama kwa msaada wa watafsiri katika lugha yako
 • Kwa programu zetu pendekezwa, unaweza kupata wajibu wako katika soko la ndani
Image

Nikukaribishe sasa! Jina langu ni Peter Toth, mkurugenzi mtendaji wa Business Chainbridge Ltd. Nimeishi Tanzania, Afrika Mashariki kwa miaka miwili kama meneja wa kampuni ya kimataifa, na Hungary, nimefanya kazi na wateja wa Ulaya na Afrika. Pamoja na watendakazi wenzangu wa awali Afrika Mashariki na Afrika ya Sahara, pamoja na wenzangu kutoka katika makampuni ya Ulaya ya Kati, tumeamua kuunganisha biashara katika kanda hizi ndani ya mabara haya mawili kwa kutumia mfumo wetu wa mahusiano.

Lengo letu ni kutathimini kampuni zinazotaka kufanya kazi na kampuni ndogo na za kati (SME) katika nchi husika, na kama ikihitajika, kutoa msaada katika maandalizi ya kuingia katika soko la kigeni. Pili, tunalenga kupata masoko washirika ili kuongeza faida za makampuni, kupunguza gharama za manunuzi, au hata kusaidia kujieneza kimataifa moja kwa moja.

Image

Mtaalamu wa zamani

nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
previous arrow
next arrow
Slider

Washirika wa awali

nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
previous arrow
next arrow
Slider
My clients said about me:
Tyrone Chan:
I did work with Peter Toth in Tanzania where I was the Project and Managed Services Director and he planned, organized and managed the Tanzanian Managed Services works for Vodacom Tanzania. He was responsible for profit and loss in these areas with a total in excess of $ 2 million at that time. Peter is a very energetic worker and in this position managed to reduce faults and escalations by 90% and to ensure that a larger contract was awarded for subsequent years. I would recommend him for a position with your company at any time, based on his skill, support and loyalty over the years during which we worked together. 
(linkedin profil ikon: https://www.linkedin.com/in/tyrone-chan-10780848/

Colm Fagan:
When Peter and I worked together ( which was from November 2011 through to October 2014) I was head of IBM's Global Account which delivered all of the services and applications used by IBM staff in EMEA. The user base was over 100,000 across a wide range of platforms(Mainframe, Midrange, Linux) and in 89 countries. Peter acted as our focal point for our technical service staff (known in IBM as SSO). His role was to manage issues and drive projects with the technical teams. I found Peter to be honest and open with a desire to get work completed and to the right standard. He is likeable and in my dealings with him I found him to be trustworthy and reliable. He performed successfully in his role and this was a challenging 
role as we were in the middle of significant organisational change and compliance work at the time. 
(linkedin profil ikon: https://www.linkedin.com/in/colmfagan/)

Mark Beacham:
Peter worked for me for a number of years on our Airtel Africa account. His main role was as my lead compliance manager managing a very challenging GET 2 SAT program. 
This was a very challenging task given the geography we were dealing with and 17 different business units. Peter performed at the highest level during all tasks and worked really well with remote teams. Peter took direction really well and always prioritised in a positive and constructive way. I would not hesitate in recommending Peter for any role within your organisation either now or in the future. 
(linkedin profil ikon: https://www.linkedin.com/in/markbeacham/)
Image

Nikukaribishe sasa! Jina langu ni Peter Toth, mkurugenzi mtendaji wa Business Chainbridge Ltd. Nimeishi Tanzania, Afrika Mashariki kwa miaka miwili kama meneja wa kampuni ya kimataifa, na Hungary, nimefanya kazi na wateja wa Ulaya na Afrika. Pamoja na watendakazi wenzangu wa awali Afrika Mashariki na Afrika ya Sahara, pamoja na wenzangu kutoka katika makampuni ya Ulaya ya Kati, tumeamua kuunganisha biashara katika kanda hizi ndani ya mabara haya mawili kwa kutumia mfumo wetu wa mahusiano.

Our goal is to assess the companies interested in the small and medium-sized enterprise (SME) sector of the countries concerned and if necessary, provide assistance in the preparation for foreign market entry. Secondly, we aim to find their market partners so that they can multiply their company's profits, reduce their procurement costs, or even to help create a permanent foreign presence.

Image

Mtaalamu wa zamani

nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
previous arrow
next arrow
Slider

Washirika wa awali

nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
nemzetközi kereskedelem
previous arrow
next arrow
Slider
My clients said about me:
Tyrone Chan:
I did work with Peter Toth in Tanzania where I was the Project and Managed Services Director and he planned, organized and managed the Tanzanian Managed Services works for Vodacom Tanzania. He was responsible for profit and loss in these areas with a total in excess of $ 2 million at that time. Peter is a very energetic worker and in this position managed to reduce faults and escalations by 90% and to ensure that a larger contract was awarded for subsequent years. I would recommend him for a position with your company at any time, based on his skill, support and loyalty over the years during which we worked together. 
(linkedin profil ikon: https://www.linkedin.com/in/tyrone-chan-10780848/

Colm Fagan:
When Peter and I worked together ( which was from November 2011 through to October 2014) I was head of IBM's Global Account which delivered all of the services and applications used by IBM staff in EMEA. The user base was over 100,000 across a wide range of platforms(Mainframe, Midrange, Linux) and in 89 countries. Peter acted as our focal point for our technical service staff (known in IBM as SSO). His role was to manage issues and drive projects with the technical teams. I found Peter to be honest and open with a desire to get work completed and to the right standard. He is likeable and in my dealings with him I found him to be trustworthy and reliable. He performed successfully in his role and this was a challenging 
role as we were in the middle of significant organisational change and compliance work at the time. 
(linkedin profil ikon: https://www.linkedin.com/in/colmfagan/)

Mark Beacham:
Peter worked for me for a number of years on our Airtel Africa account. His main role was as my lead compliance manager managing a very challenging GET 2 SAT program. 
This was a very challenging task given the geography we were dealing with and 17 different business units. Peter performed at the highest level during all tasks and worked really well with remote teams. Peter took direction really well and always prioritised in a positive and constructive way. I would not hesitate in recommending Peter for any role within your organisation either now or in the future. 
(linkedin profil ikon: https://www.linkedin.com/in/markbeacham/)

Unawezaje kuwa mteja wetu / mdau wetu?

1
Utajaza fomu ya usajili na kujaza taarifa muhimu kuhusu kampuni yako
2
Tutatathimini taarifa zako bila gharama yoyote na kukutumia tathimini kwa baruapepe, na ikihitajika tutapendekeza maeneo ya kuboresha na kukujulisha hatua zinazofuata
3
Tunawsiliana sisi kwa sisi

Huduma za kusajili

Orodha ya biashara ya kigeni na ukaguzi wa kampuni yako bila gharama yoyote

 • Kujisajili katika orodha
 • Utathimini binafsi
 • Mapendekezo

Kuonana na wataalam

 • Kujadili mapendekezo
 • Uendelezaji wa biashara kwa kutumia washirika wenyeji
 • Kuelezea masuala yanayohusu nchi inayokusudiwa

Mauzo, manunuzi na ukaguzi

 • Tafuta wateja wenyeji / wasambazaji
 • Tafuta wasambazaji
 • Ukaguzi wa washirika wa kigeni

Maonesho

 • Uwasilishaji katika bango letu
 • Kuwa na bango maalum

Uwakilishi wa kudumu

 • Uanzishaji kampuni ugenini
 • Uchaguzi wa viongozi wa juu
 • Kupata msaada wa kibiashara kutoka nje

Kila kampuni ni la kipekee, na gharama zitolewazo ni kwa kila kampuni kulingana na lilivyojiandaa kuingia katika soko la kigeni, ambalo tunaweza kulianzisha pamoja baada ya kujisajili na kujitathimini. Kama utahitaji kujiandaa na huna mtaalamu au mdau katika eneo husika, tunaweza kupendekeza mtaalamu wetu wa kukodi.

Kutafuta wadau wa nje / biashara pasipo gharama za kuanzia, miongoni mwa mapendekezo yetu mengi unaweza kupata ufumbuzi sahihi wa jambo lako.

Gharam za huduma zetu nyingine tunaweza kuzipanga pamoja.

UANDAAJI WA USHIRIKA BORA WA KIBIASHARA KATIKA AFRIKA MASHARIKI NA ULAYA YA KATI

Je tunaweza kuanza?

Mawasiliano:

Mawasiliano:

Simu:
Image

Baruapepe: 

Image
Business Chainbridge Kft. 

Namba ya kodi ya Umoja wa Ulaya: 26559171-2-41 
Makao makuu: 
1027 Budapest, Bem József utca 6 fszt.